Kwa kile kinachoonekana ushabiki wa kupitiliza kwa wema Team mbali mbali zilizoanzishwa instagram kwa ajili ya kumshabikia Wema na Nyingine kuwananga wanao mchukia wema kwa sasa zimeingia katika mgogoro mkubwa wa sinto fahamu baada ya picha ya Mama Wema Kuediwa na kutundikwa mtandaoni cha kushangaza ni jinsi wanavyoshikana uchawi Wenyewe kwa wenyewe kwa kile kinachodaiwa ni Ushabiki Feki Kwa Wema..
Sakata lenyewe lilianza hivi:
Baada ya Picha Feki ya Mama Wema Kuwekwa mtandaoni na instagram account ijulikanayo kama Homa_ya_jiji_Team_Dengue na Account Nyingine Maarufu ya Kumtetea Wema Ijulikanayo kama Dogiemasta13 ilifanya kazi ya ziada kumshawishi Homa_ya_jiji_Team_Dengue kuidelete hiyo picha na baada ya muda ilideletiwa , kwa Masharti kuwa Dougiemasta13 aifunge account yake, na account ikafungwa kweli
Sasa Jana katika kutafuta nani mwenye account ya Homa_ya_jiji_Team_Dengue akaibuka Mshabiki maarufu wa Wema Anayejiita Tilda_Mati kwenye Insta na kusema kuwa Aliyehusika kuweka picha ya Mama Wema Insta ni Mwenye Account yaUsipojipanganitakupanga nitakupanga ambae nae pia ni mshabiki wa Wema kwa maana kuwa ana account mbili kwa tofauti moja ya kumponda wema na ingine ya kumshabikia soma hapa alichosema:

Baada ya Shutuma Hizo kwa Usipojipanganitakupanga kutoka kwa Tilda_mati naye Usipojipanga akaandika hivi kupangua shutuma:
Leo Asubuhi huyu Tilda Mati account yake imefungwa nadhani baada ya watu wengi kuireport Instgram, Pia account ya Homa_ya_jiji_Team_Dengue nayo imefungwa, Dougiemasta baada ya kufunga account yake ya dougie masta 13 amefungua account nyingine leo kwa jina la dougiemasta 14 na kusema haya:
Vita vya wenyewe kwa Wenyewe Vyaendelea .....Hizi Team zina Mambo angalieni tu msitoane Macho, Wema Mwenyewe Wala Hana Habari na Team Zenu na Alishasema Hajamtuma Mtu Kufanya huo Ujinga na kutukanana .
UdakuSpecially
UdakuSpecially