Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DOGO AFUNGUKA ON KUWACHWA NA MAPENZI SOMA ALICHOSEMA LIVE AT HIS FACEBOOK!!

$
0
0


"KWA YOYOTE YULE KAMA IKIKUUMA NIBLOCK
Kama umeumizwa kwenye Mapenzi halafu ukaamua eti kuzila, eti hutaki kupenda tena, wewe ni kichwa panzi...
Aliyekuumiza ni huyo Ex ngedele moja aso kuwa na haya ka u..huzi wa ngomani


na
sio Mapenzi;
Sasa Mapenzi yana kosa gani?...Mapenzi yako wazi
kwa kila mtu, inategemea
wale wanaopaswa kuyatumia Mapenzi wanafanyaje;
Unajikomoa mwenyewe, wewe unasusa wenzio tunakula vyetu kiulaniiiiii yani bonyeeeee,
Amka saa wenzio wanaenjoy we unabaki unakumbatia ngumi, madai yako una
hasira; acha kuwa na akili mgando ka sanamu la posta
Kama una hasira sana rukia ukuta...Its ur ex
fault not Love, Tumia akili....ewe mdada au mkaka mwenye hasira na kususia mapenzi

CALL ME ‪#‎THATSWAGGKID‬
SURA SOFT MANENO MAGUMU KUNTUUUUU!!"


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>