Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAJANGA:MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MOJA ATELEKEZWA NA MAMA YAKE

$
0
0

Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyetelekezwa na mama yake.

VITUKO uswahilini! Mtoto wa mwenye umri umri wa mwaka mmoja ambaye jina halikufahamika ameokolewa na Oparesheni Fichua Maovu ya Global Publishers baada ya kudaiwa kutelekezwa kwa siku nzima na mama yake mzazi, Mama Sofia.

Tukio hilo la aina yake lilijiri Juni wikiendi iliyopita maeneo ya Somanga-Magomeni, Dar ambapo kwa mujibu wa wasamaria wema waliomuona mtoto huyo, alionekana majira ya asubuhi akirandaranda barabarani.
Walisema walidhani alikuwa akielekea nyumbani kwao lakini hadi jioni walishangaa kumuona bado anarandaranda mitaani mwenyewe.SOMA ZAIDI>>>>>.>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>