Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

NDOA NDOANO:BINTI AGUNDUA YEYE MKE WA 9 BAADA YA NDOA KUFUNGWA

$
0
0
Miinza Matoki aolewa kuwa mke wa tisa.
Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Miinza Matoki (20), ameikimbia ndoa yake kisa kikielezwa kuwa ni mauzauza ya kichawi anayokutana nayo.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Minza ambaye ni mkazi wa Manyoni mkoani Singida alisema wazazi wake walimuozesha kwa ‘kibabu’ aliyemtaja kwa jina moja la Samson ambaye aliwahi kuoa wanawake nane kabla yake hivyo yeye kuwa wa tisa.
Alisema siku chache baada ya kuolewa alianza kuona mauzauza usiku ambapo alidai alikuwa akichezewa mwilini na watu ambao hakuwafahamu wenye sura za kutisha huku wakiwa wamevaa nguo nyeupe.
Mwanamke huyo alisema mchana alipokuwa akienda kuchunga ng’ombe akirudi nyumbani alikuta kinyesi cha binadamu kwenye begi la nguo zake.“Siku moja niliamshwa usiku saa kumi na kuambiwa niende kisimani kuchota maji, nikakutana na mtu aliyevaa nguo nyeupe, nikamsalimia hakuitika, nikachota maji na kuondoka, nilipotazama nyuma sikumuoana nikaanguka na kupoteza fahamu.Inaendelea hapa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>