Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama ujuavyo sheria mkononi kwa nchi hii...
Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....
Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....