AUNT EZEKIEL:NITAMALIZIA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU DUBAI
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.Staa wa filamu...
View ArticleLE MUTUZ HANGING OUT NA WAKAREEZZZZ MABEBZ LE BONGO TAMBALALEZZZZ U KNOW...
Le Big Show feeding a cake to my super Friend Super Model & Actress Hamisa Mobeto live!!Le Mutuz with My Super Sister Mheshimiwa Mbunge wa CCM Cathy Magige live!!
View ArticleANGALIA PICHA MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA YABAINIKA...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.Kamanda wa Polisi mkoa wa...
View ArticleMWANACHUO WA RUCO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.
Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama...
View ArticleVIDEO YA JINSI FLORA MBASHA ALIVYOMFANYIA MUMEWE AKIWA RUMANDE LIVE!!
BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YENYEWE
View ArticleTEAM WEMA, TEAM KAJALA KUVUNJWA.....YADAIWA NDO CHANZO CHA UGOMVI WA WEMA...
Makundi mawili hasim ya wasanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja yajulikanayo kama 'Wema Team' na 'Kajala Team' yanatarajiwa kuvunjwa kwani ndio yameonekana...
View ArticleNGUO ATAKAYOVAA DIAMOND KWENYE RED CARPET YA BET AWARDS
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii...
View ArticleMWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR
Masista wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Sista Cresensia Kapuli aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi Juni 23, 2014. Sista Brigitte Mbaga aliyekuwa na marehemu Cresensia...
View ArticleMAJANGAZZ MZEE WA KANISA AAIBIKA
Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti)...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE...
Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya KitanzaniaDiva wa...
View ArticleNISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.Mwanadada kutoka kiwanda cha Filamu...
View ArticleKIMENUKA TAYARI ... MKE WA TYSON ATAKA MALI ZAKE!
Wakati hata siku arobaini hazijatimia, mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo juzi alicharukia mali zake baada ya kuamua kutinga nyumbani kwa marehemu, Mbezi Makonde jijini Dar kwa lengo...
View ArticleMASIKINI MTOTO WA MAREHEMU AMINA CHIFUPA AEMBAKI PEKE YAKE BILA WAZAZI WOTE...
Marehemu Amina Chifupa na Mumewe Marehemu Medy Mpakanjia wazazi wa Rahman mtoto pekee wa marehemu Amina Chifupa Mbunge.MASIKINI HUYU NDIYE MTOTO WA AMINANA CHIFUPA MWENYE SHATI JEKUNDU...
View ArticleWEMA SEPETU NA PENNY WAKUMBANA STUDIO LIVE!!!
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa...
View ArticleMKUU WA MAGEREZA NCHINI ALIPOWASILI MWANZA SASA HIVI LIVE!!
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini akiwasili uwanja wa Ndege wa Mwanza jana Juni 26, 2014 kwa ziara ya kikazi Magereza Mkoa wa Mwanza. Aidha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza...
View ArticleMASIKINI MWILI WA SISTA ALIYEULIWA NA MAJAMBAZI WAAGWA RASMI JANA DAR ONA...
Masista wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Sista Cresensia Kapuli aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi Juni 23, 2014. Sista Brigitte Mbaga aliyekuwa na marehemu Cresensia...
View ArticlePICHA YA PROFESSOR JAY AKIWA ENZI ZAKE ZA ZAMANI
Hii ni Picha ya Professor Jay ambayo kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo
View Article