Marehemu Amina Chifupa na Mumewe Marehemu Medy Mpakanjia wazazi wa Rahman mtoto pekee wa marehemu Amina Chifupa Mbunge. |
MASIKINI HUYU NDIYE MTOTO WA AMINANA CHIFUPA MWENYE SHATI JEKUNDU HAKIKA HUYU MTOTO AMEBAKI MPWEKE KWASABABU ATA BABA YAKE KAISHA FARIKI DUNIA
Leo tarehe 2 Dec pia ni siku ya kuzaliwa mtoto wa aliyewahi kuwa mtangazaji wa clouds fm marehemu Amina Chifupa.Hapa namzungumzia Rahman alikuja pia na babu yake Mzee Chifupa.