Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MKUU WA MAGEREZA NCHINI ALIPOWASILI MWANZA SASA HIVI LIVE!!

$
0
0



Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini akiwasili uwanja wa Ndege wa Mwanza jana Juni 26, 2014 kwa ziara ya kikazi Magereza Mkoa wa Mwanza. Aidha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza atahudhuria pia Kikao cha 26 cha Bodi ya Taifa ya Parole ambacho kimeanza leo katika Ukumbi wa Mwanza Hoteli, Jijini Mwanza(kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Goleha Masunzu.

Afisa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Remegius Pesambili(wa pili kulia) akimlaki Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(Kaunda Suti nyeusi) alipowasili jana Juni 26, 2014 katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ziara ya Kikazi Magereza Mkoa wa Mwanza.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akisaini kitabu cha Wageni mapema jana jioni Juni 26, 2014 alipowasili Jijini Mwanza kwa ziara ya Kikazi(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>