$ 0 0 Rais wa TASWA Juma Pinto Akiwahutubia wanahabari walioshiriki kwenye Bonanza la TASWA Mkoa wa Arusha Lililofanyika kwenye Uwanja WA Sheikh Amri Abeid Chairman Juma Pinto Akitoa zawadi Maalum kwa Wadhamini wa Bonanza hilo