THE MAGAZETI YA BONGO LEO SUNDAY /JUMAPILI 29/6/2014 LIVE!!
............................Ni
View ArticleBinti aliyebakwa na Baba yake na kuambukizwa UKIMWI
Binti anayedaiwa kubakwa na baba yake, kupewa ujauzito na kuambukizwa Ukimwi. Picha na Florence Focus.“Amini usiamini hizi ni zama za mwisho mwanangu, mimi hili suala bado haliniingii akilini kabisa,...
View ArticleUSHAMBA MZIGO: MTITU WA BONGO MOVIE AMEKOMA...
BIG Boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amesema amekoma kutumia usafiri wa boti kwani ulimfanya akose amani juzikati walipokwenda Zanzibar katika Tamasha la ZifAkipiga stori mbili tatu na...
View ArticleDIVA WA BONGO MUVI ESHA BUHETI AFUNGUKA KUHUSU BIFU NA JAQUELINE WOLPER...!
Mkali wa filamu Bongo Esha BuhetiBAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’, iliibuka minong’ono kuwa...
View ArticleBONANZA LA TASWA MKOA WA ARUSHA LAFANA
Rais wa TASWA Juma Pinto Akiwahutubia wanahabari walioshiriki kwenye Bonanza la TASWA Mkoa wa Arusha Lililofanyika kwenye Uwanja WA Sheikh Amri Abeid Chairman Juma Pinto Akitoa zawadi Maalum kwa...
View ArticlePPF KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA 2014
Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gloria Maboya, (Kulia), akiwapatia taarifa za michango, wanachama wa PPF, waliotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyeshjo ya 38 ya biashara ya kimagtaifa...
View ArticleWASANII WALIVYO PERFOM KWENYE SHEREHE ZA UGAWAJI WA TUZO ZA BET PICHA ZIKO HAPA.
Wasanii wanaounda kundi la mafikizolo wakifanya yao kwenye stage muda huu nchini marekani kwenye sherehe za ugawaji wa Tuzo za BETWasanii wenginekama Tiwa Savage na Sarkodie waliendeleza burudani kwa...
View ArticleKAULI YA DIAMOND MARA BAADA YA DAVIDO KUTANGAZWA MSHINDI WA TUZO YA BET
Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa...
View ArticleEbana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa
Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya. Hii hapa ni teaser ya video ya wimbo wa Bum bum akiwa na Iyanya. Sekunde 15 zinatosha...
View ArticleHUYU NDO MSANII WA BONGO FLEVA ANAEONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA BONGO
Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini...
View ArticleTAZAMA MUONEKANO MPYA WA MWIGIZAJI MAARUFU AFRICA INI EDO
The stunning actress showed off her new look and flawless complexion..She also said"I am a happy child thank u Jesus for the many reasons why am happy"She does look happy and vibrant ..Beautiful woman...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI JUNE 28, 2014
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi...
View ArticleESHA BUHETI APANGUA TUHUMA ZA KUBEBWA ZIFF
BAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’, iliibuka minong’ono kuwa hakustahili lakini mwenyewe ameibuka...
View ArticleWAPIGANA MAKABURINI, MWILI WARUDISHWA HOSPITALI, KABURI LAFUKIWA
zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.Sababu kubwa ya mpasuko huo...
View ArticlePale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji...
Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz...
View ArticleCHRISTIAN RONALDO KUONEKANA MTUPU KATIKA JARIDA LA VOGUE SPAIN NA MTOTO WA...
Mchezaji soka bora zaidi wa mwaka duniani anayesakata kabumbu katika club ya soka ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo sasa kuonekana katika Cover la Vogue Spain la mwezi huu...
View Article