Wasanii wanaounda kundi la mafikizolo wakifanya yao kwenye stage muda huu nchini marekani kwenye sherehe za ugawaji wa Tuzo za BET
Wasanii wenginekama Tiwa Savage na Sarkodie waliendeleza burudani kwa kuwapagawisha mashabiki fuatilia picha hizi hapa chini