$ 0 0 Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya. Hii hapa ni teaser ya video ya wimbo wa Bum bum akiwa na Iyanya. Sekunde 15 zinatosha kuangalia teaser yote, enjoy!!