Mchezaji soka bora zaidi wa mwaka duniani anayesakata kabumbu katika club ya soka ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo sasa kuonekana katika Cover la Vogue Spain la mwezi huu june linalotoka leo nchini Hispania akiwa uchi pamoja na mpenzi wake wa siku nyingi mwanamitindo Irina Shayk ambaye ni mtoto wa mchekeshaji nguli duniani, Mr. Bean. I like the way the role is reversed in this shoot. Usually its the woman that’s naked, while the man fully is clothed. Nice cover!
↧