Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WAREMBO WA CALIFORNIA WALIVYODATISHWA NA DIAMOND PLATINUMZ..

$
0
0
Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asiyeshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliomshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido alifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014...

Ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 iliyofanyika jana jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa nominated kwenye category ya international collaboration. Mgeni wa heshima alikua Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa Tanzania California.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>