PICHAZ: INATISHA SANA..WABAKAJI WAUAWA KINYAMA KWA KUCHOMWA MOTO NA...
Una maoni gani kuhusu adhabu hii?!Shuka chini tupatie maoni yako...!
View ArticleWAREMBO WA CALIFORNIA WALIVYODATISHWA NA DIAMOND PLATINUMZ..
Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asiyeshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliomshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi...
View ArticleALICHOKIONGEA OMMY DIMPOZ BAADA YA DIAMOND KUSHINDWA BET AWARDS 2014.
Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa...
View ArticleEMMY SIZYA: WASANII WA KIKE WANANYIMWA NAFASI YA KUMILIKI FILAMU
TANGU ilipoanza tasnia ya filamu nchini katika miaka ya 2000, unaweza kujiuliza kwa nini hadi leo wanaomiliki filamu zao wengi ni wasanii wa kiume.Ingawa katika kuigiza filamu hizo, wanawake pia...
View ArticleE FM Radio Yaendelea Kunyakuwa Watangazaji Maarufu Bongo..Huyu Mwingine...
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na...
View ArticleAPATOSHI BONGO MOVIE:Ray, Johari sasa kugawana hadi nguo za Ndani
Hali katika kampuni ya RJ inayoongozwa kwa ubiya kati ya Vicent Kigosi ( Ray) na Blandina Chagula ‘Johari’, inazidi kuwa tete kwa kile kinachoelezwa kuwa johari hataki kufanya kazi pamoja na ‘mke...
View ArticleLe Majangaz Mwingine nae avua nguo mahakamani Kenya
Hizi ni stori ambazo ukizisikia unaweza kushtuka kuona mtu anawezaje,sasa Unaambiwa kutoka katika mahakama kuu jijini Eldoret Nchini Kenya kuna mwanamke aliamua kuvua nguo ili kupinga uamuzi wa jaji...
View ArticleHII NDO TOP TEN LIST YA MADADA WANAOFUNIKA KWA KUVAA NA UZURI BONGO TANZANIA;
JACKLINE WOLPER MADAM RITA MILLEN MAGESE SHAA NANCY SUMARRY
View ArticleWAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO
*Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombiWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa...
View ArticleOdama Hataki Kumuanika Hovyo Mtoto Wake Mitandaoni
Habari mpya ni kuwa muigizaji maarufu nchini Odama Jennifer Kyaka hapendi kumuanika hovyo mtoto wake mitandaoni kama baadhi ya mastaa wenzake. Haijajulikana sababu ingawa hata Odama mwenyewe waandishi...
View ArticleMwanamke aliyejitokeza baada ya kutembea na wanaume elfu 10.
Mwanamke mmoja ameamua kujitokeza hadharani na kusema kuwa katika maisha yake tayari amekwishatembea na wanaume elfu 10 asilimia 90 wakiwa wameoa katika harakati zake za kujitafutia kipato.Gwyneth...
View ArticleJustin Bieber awashangaza mashabiki wake
Nyota wa muziki Justin Bieber amewaacha kwenye mshangao mashabiki wake baada ya kupost picha ya selfie akiwa hana nguo mtandaoni.Mwimbaji huyo hivi karibuni amekuwa akitupia picha mbalimbali katika...
View ArticleMWANAFUNZI CHUO KIKUU ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI, KUZIKWA LEO KILIMANJARO
Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) enzi za uhai wake.Jeneza...
View ArticleTAZAMA VIDEO IKIMUONESHA EZDEN AKIZUNGUMZIA SABABU YA NDOA YAKE NA DIDA...
Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao.Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe...
View ArticleLIST MPYA YA MASTAA WENYE NGUVUZAIDI NA PESA DUNIANI
Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014.Beyonce amefanikiwa kunaa...
View ArticlePOLISI MKOANI IRINGA YASIMULIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA RUCO ALIKUWA ANATEMBEA...
`Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umeagwa leo na...
View Article