Idara ya Hekaheka leo ina ishu kuhusu Mwanamke anayedaiwa kuwa alikua akiishi kinyumba na Dudu baya.
Mwanamke huyo amezungumzia kilichotokea baada ya kitendo cha Dudubaya kufukuzwa na mwanamke huyo kwa sababu mbalimbali alizotaja ikiwemo ubakaji na unyanyasaji.