GARI HILI LILIGONGWA KWA NYUMA KATIKA BARABARA YA POSTA; NI MALI YA KAMPUNI YA ASAS GROPU OF COMPANIES, LILIKUWA LIKIENDESHWA NA MMOJA WA WANAFAMILIA, TWARIB ASAS |
GARI HILI NDILO LILILOGONGA GARI YA ASAS; NI MALI YA MFANYABISHARA MAARUFU WA VIFAA VYA UJENZI CHAULA |
ILITOKEA JIRANI KABISA NA MNARA WA SAA WA MANISPAA YA IRINGA |
AJALI iliyohusisha magari ya wafanyabiashara maarufu wa mjini Iringa imetokea hii leo, majira ya saa nane mchana katika barabara kuu, eneo la Bima mjini Iringa.
Ajali hiyo imehusisha magari yanayomilikiwa na kampuni ya ASAS ya mjini Iringa na ile ya Chaula Hardware nayo ya mjini Iringa.
Pamoja na magari hayo kuharibika kiasi, hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo ambayo wahusika walimalizana ki-utu uzima.
frankleonard.blogspot.com/