RIDHIWANI AKANA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA PAMOJA NA KUMILIKI MAGARI...
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete amekana kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kuwa miongoni mwa watu ambao wanamiliki mabasi ya...
View ArticleUN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA "MACHAPISHO KWA UMMA"
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao na nyuso za bashasha baada ya kunyakua tuzo ya Machapisho kwa Umma (Mass Media na Publicity) kwa mara ya...
View ArticleDR. MWAKYEMBE ATIMUA MAOFISA 13 UWANJA WA NDEGE
Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi akitoa ufafanuzi wa kufukuzwa kwa wafanyakazi 13 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Nyerere.Zaidi ya Maofisa kutoka wizara tatu wapato 13 waliokuwa...
View ArticleRAY: Nimerudi kikazi zaidi
MUONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahilifilamu Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema kuwa hajatoweka katika tasnia ya filamu bali alikuwa akijipange kwa ajili ya kuangalia soko la...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY/ALHAMISI 3/07/2014
.................................
View ArticleHATIMAYE MCHUNGAJI ANAYETUHUMIWA KUVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA FLORA MBASHA...
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima, amefunguka na kuuweka hadharani uhusiano wake na familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha...
View ArticleJEURI YA FWEZA SUPER STAR DAVIDO AANZA JEURI ONA HAPA ALICHONUNUA LIVE!!
Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014.Davido ameanza kuonyesha uwezo...
View ArticleNA HII NDIO RATIBA YA ROBO FINALI YA KOMBE LA DUNIA BRAZIL KUANZIA IJUMAA LIVE!!
ednesday, July 2, 2014RATIBA YA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA HII HAPA
View ArticleEXCLUSIVE:- CINEMA KAMILI YA JANA JINSI MAJAMBAZI WALIVYOMPORA JAMBAZI...
WATU wanaosaidikiwa kuwa majambazi wameshambulia kwa risasi basi la Jeshi la Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali wakiwamo majambazi sugu na kujeruhi askari wawili.Habari za uhakika zimeifikia hivi...
View ArticleEXCLUSIVE SPECIAL ORIFLAME EDITION:- KAMPUNI YA VIPODOZI ORIFLAME...
Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).Kampuni hiyo...
View ArticlePICHA TANO ZA MWANADADA HUYU TOKA ANAINGIA KIWANJA HADI ALIPOANZA KUMWAGA...
Huyu ni mwadada amabaye ame MEKI HEDILINI sana kwenye tamasha la MASAKU 7'S la huko nchini KENYA:Hapa ndipo alipokua akiingia uwanjani:PICHA 3>>>>>HAPAPICHA...
View ArticlePOLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI AENDA KULALA NAE NYUMBANI KWAKE HUKU NYUMA NYUMBA...
Wananchi wa Mlangali Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hichoWananchi Mlangali Ludewa wakiwa...
View ArticleAJALI ILIYOHUSISHA MAGARI YA MATAJIRI YATOKEA IRINGA
GARI HILI LILIGONGWA KWA NYUMA KATIKA BARABARA YA POSTA; NI MALI YA KAMPUNI YA ASAS GROPU OF COMPANIES, LILIKUWA LIKIENDESHWA NA MMOJA WA WANAFAMILIA, TWARIB ASASGARI HILI NDILO LILILOGONGA GARI YA...
View ArticleEXCLUSIVE!!:- MDAU JF AWACHANA WANAMUZIKI BONGO ATAJA 50 KATI YAO...
Kwanza kabisa naomba nieleweke kuwa sisi watanzania kwa kipindi hiki tunatafuta icon yetu kwenye mziki ambaye kwa sasa hivi atatuwakilisha kwenye industry nzima ya muziki duniani.Ifike pahala ukisema...
View ArticleLE BIG SHOW HANGING OUT NA MABEBZ WA UKWELI SUPER JACKY MZINDAKAYA & MISS...
Super Jacky Mzindakaya + Le Big Show + Super Nelly le wadadazzzz!!
View ArticleKIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KUFANUIKISHA...
Mmoja kati ya wakimbiza mwenye Kitaifa kulia akimpongeza mbunge Deo Filikunjombe kwa kasi yake kubwa ya maendeleo jimboniMwenge wa Uhuru ulipowasili wilaya ya Ludewa eneo la Madope mpakani mwa...
View Article