Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HII NDIO DROO YA LIGI YA EUROPE CHAMPIONS LEAGUE LIVE LEO!!

$
0
0


DROO ya UEFA CHAMPIONS LIGI, ili kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 inafanyika leo huko Nyon, Uswisi Jumatatu hii Desemba 16 kuanzia Saa 8:00 Mchana.
Katika Droo hiyo, Mabingwa Watetezi, Bayern Munich na Washindi wa Pili, Borussia Dortmund, wamo pamoja na wenzao wengine wawili wa Germany, Bayer Leverkusen na FC Schalke. Ligi Kuu England inazo Timu 4 ambazo ni Mabingwa wake Manchester United, Man City, Chelsea na Arsenal. 
LIVE:- MATOKE KAMILI Manchester City vs Barcelona
Olympiacos vs Manchester United
AC Milan vs Atletico Madrid
Bayer Leverkusen vs Paris Saint-Germain
Galatasaray vs Chelse
Schalke vs Real Madrid
Zenit vs Borussia Dortmund
Arsenal vs Bayern Munich

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>