Mtoto mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwiliAna Paula mwenye miezi 22 alikuwa ni pacha aliyeungana ambapo dada yake hakuweza kupona wakati wa upasuaji wa kuwatenganisha.