Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MCHUNGAJI ANASWA LIVE NA MKE WA MKE WA WAKIFANYA YAO CHUMBANI

$
0
0
 Baba mchungaji wa Kanisa la Living Word Ministry, Michael Semeni.
Baba mchungaji, ni nini hiyo? Ndivyo walivyosikika wakiuliza baadhi ya watu waliokatiza kwa Mchungaji Michael Semeni wa Kanisa la Living Word Ministry lililopo Ukonga- Majumba Sita jijini Dar es Salaam.

 Mkasa mzima ulijiri Julai 3, 2014 ndani ya ofisi za mchungaji huyo huku mlalamikaji mkuu akiwa na mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mume wa mwanamke aliyekutwa na Semeni. 
Sekeseke hilo lilitokana na madai kwamba, Mchungaji Semeni alinaswa akiwa na mwanamke huyo aitwaye Erizabert Kisanda, mkazi wa jijini Mwanza ambaye alifika Dar kuonana naye kwa ajili ya kumwombea maombi maalum ya kiroho ‘deliverance’ kutokana na matatizo ya mke huyo kushika mimba na kutoka kila wakati.

Siku ya tukio, makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) walikuwa mitaani katika viunga mbalimbali vya Jiji la Dar wakisaka matukio, ndipo walipojikuta wakitokea eneo lenye kimbembe.Baadhi ya watu waliozungumza na Ijumaa Wikienda walidai kuwa mchungaji huyo alinaswa na mke huyo wa mtu hivyo kuzua tafrani kati yake na mwanaume anayedaiwa ni mumewe.endelea nayo hapa>>>>>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>