Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DIAMOND PLATNUMZ ATINGA NDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO‏ JIJINI KANSAS,MAREKANI

$
0
0

Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Bston (kulia).
Diamond Platnumz akiendelea kujibu maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ huku Dj Romy Jons akifuatilia kwa makini maswali na majibu yaliyokua yakiulizwa na AJ.
Diamond Platnumz akijibu moja ya maswali.

Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati akijibu moja ya maswali waliyomuuliza.


Mashabiki wakiwa ndani ya studio za GENN Radio wakimsikiliza Rais wa Wasafi akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ.

Baada ya mahojiano mashabiki nao hawakua nyuma kupata ukodak na prezda wa wasafi ndani ya
studi za GENN Radio. 
Patrick Joseph wa Wichita akipata picha na Diamond Paltnumz akiwa pamoja na Dj Romy Jones.
Monica Mambo, Neema Mambo na Evelyn Ndungu nao wakipata picha ya pamoja na Diamond Platnumz pamoja na Dj Romy Jons.
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa kufanyika Kansas City, Missouri.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>