$ 0 0 Mama yake Diamond Platnumz leo July 11 alikua kwenye kipindi cha Leo Tena kutoka Clouds Fm na alipata nafasi ya kutoa Hekaheka yake ambayo inahusu maisha yake pamoja na Diamond Platnumz kwenye malezi yake mpaka hapo alipo Diamond kwa sasa.