AJALI YAUA MMOJA DODOMA, MWANAMKE AGONGWA NA KUFARIKI PAPO HAPO
Watu wakiuangalia mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina jina lake baada kugongwa na gari lisilofahamika na kufa papo hapo, katika eneo la bohari ya mkoa kati ya bunge na kituo cha mabasi yaendayo...
View ArticleTHE SECRETE REVEALED~DIAMOND AND WEMA NOW ARE................READ MORE
IN THE NAME OF #INSTAGRAM ONE OF WEMA'S FAN COME WITH A DOUBT CONCERNING A RING WHICH SEEMED ON THE WEMA'S COURT FINGER SO THE QUESTION COMES DOES WEMA SEPETU TAKE IT FOR DECORATION OR NEAR TO...
View ArticleVANESSA MDEE azungumzia nia yake ya kushiriki BIG BROTHER
LEO July 11 ndo siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini Afrika Kusini utaanza kufanyika. Mara nyingi zinapokaribia siku za...
View ArticleWEMA SEPETU NI MNAFIKI MKUBWA..." ALA ZA USO TOKA KWA KAJALA..KISA?!SHUKA...
Staa wa filamu za Kibongo, Kajala MasanjaSTAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya...
View ArticlePICHA MAMA MZAZI ADAIWA KUMVUNJA MGUU MWANAE
Mtoto aliyevunjwa mguu wa kulia na mama yake.MWANAMKE mmoja aliyejitambuliwa kwa jina la Fadhila mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Keko Machungwa jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumvunja mguu mtoto...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY /JUMAMOSI 12/7/2014 LIVE!!
..............................Ni
View ArticleIkulu ya Marekani yamuamurisha wakala wa picha kufuta picha zote za Malia...
White house ya Marekani yamuamurisha wakala wa picha kufuta picha zote za Malia Obama kwenye mitandao alizopigwa na Mapaparazi akiwa kwenye mgahawa maarufu sana uko California, Marekani. Ikiongezewa...
View ArticleHEKAHEKA INAYOMHUSU MAMA WA DIAMOND PLATNUMZ
Mama yake Diamond Platnumz leo July 11 alikua kwenye kipindi cha Leo Tena kutoka Clouds Fm na alipata nafasi ya kutoa Hekaheka yake ambayo inahusu maisha yake pamoja na Diamond Platnumz kwenye malezi...
View ArticleJINI KABULA APIGWA MADONGO KWA KUVAA VIMINI NDANI YA MFUNGO WA RAMADHANI
STAA wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini Kabula’ amecharuka baada ya kukosolewa juu ya mavazi ya mitego, vimini, anayovaa ndani ya mwezi wa Ramadhani.Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa...
View ArticleUNAAMBIWA HIVI NDIVYO WEMA NA DIAMOND WALIVYOKUTANA SIKU YA KWANZA, SOMA HAPA...
Inaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia...
View ArticleRAY C ACHEZEA KICHAPO KIKALI TOKA KWA MTUKUTU CHID BENZ..
Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’.Uonevu! Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka...
View ArticleBONGO YAZIDI KUWA TAMBALEZZZ ONA MABASI MAPYA YENYE TV NDANI YAKE NI...
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata...
View ArticleLE MAJANGAZ MWANAUME APANIA KU-KISS MABEBZ MILLIONI MOJA DUNIANI ONA...
John Telewa ni kijana kutoka nchi ya Kenya mwenye plan la kukiss mademu zaidi ya milioni, kwa hivi sasa jamaa ameshawa kiss mademu 4,500 kwa hiyo bado ana safari ya kuwa-kiss mademu 995,500 na katika...
View ArticleKWANINI WADADA WA SIKU HIZI WANAPENDA KUFANYA HIVI.....KIZAZI KILICHOPOTEA!!!!!
PICHA 2>>>>>HAPAPICHA 3>>>>>HAPAPICHA 4>>>>>HAPA
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI MKOANI TANGA
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi pamoja na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakivishwa skafu baada ya kuwasili kwenye...
View ArticleWEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE
Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.Diamond akiwa katika dua.
View ArticleMTOTO AFICHWA UVUNGUNI KWA MIAKA 6 MOROGORO
Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa,...
View ArticleBALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA
Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja waMataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum...
View ArticleHALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA
Mmoja wa wanakikundi wa Kikundi cha Vijana cha Maamuzi, Bw. Juma Ismail Hassan (aliyevaa tshirt ya blue) akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kikundi hicho na Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana,...
View Article