Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BONGO YAZIDI KUWA TAMBALEZZZ ONA MABASI MAPYA YENYE TV NDANI YAKE NI BALAAHAAA KAMA MBELEZZZ U KNOW!!

$
0
0

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata Televisheni moja lakini hivi sasa mambo si kama enzi za zama za kale.

Hivi sasa tunapata kujionea kewenye magari ya kampuni ya RATCO ya mabasi yaendayo Tanga wameleta mabasi yenye Televisheni katika kila kiti cha abiria. Raha ilioje hii..? Na zaidi sasa magari yaliyo mengi yana soketi za umeme katika kila kiti ambapo utaweza kuchaji simu yako huku ukisafiri.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>