Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WOLPER WA BONGO MOVIE AFUNGUKA KUHUSU WATU WANAOTUMIA ACCOUNT FAKE ZENYE JINA LAKE MITANDAONI

$
0
0


Ndugu wapenzi napenda kuweka wazi kua kwa sasa situmii mtandao wa kijamii wa Facebook ila ni hivi karibuni nitawapa account yangu ya facebook. Nimeamua kuweka wazi maana amejitokeza mtu anayetumia jina langu la mtandao wa kijamii wa ''INSTAGRAMU'' unaotumia jina la
WOLPERGAMBE, na yeye amefungua account ya Facebook na kujiita WOLPERGAMBE. Nawaombeni radhi kwa usumbufu wowote mlioupata kutoka kwa mtu huyo maana sio mimi. Na nitakapotoa jina la account yangu ni kwamba kila nitakachoweka INSTAGRAM nita share moja kwa moja na watu wa Facebook asante Watanzania na pia nawatakia RAMADHANI KARIM.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>