DAYNA NYANGE AELEZEA CHANGAMOTO ANAZOPATA BAADA YA KUJICHUBUA
Mwimbaji wa kike Dayna Nyange azungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ngozi yake na kuwa nyeupe.Dayna ameeleza kuwa amekuwa akisolewa na watu wengi huku...
View ArticleWASICHANA WABAKWA NA KUNYONGWA MKOANI LINDI
WASICHANA saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.Wasichana hao wamepoteza maisha kwa nyakati...
View ArticleMCHEPUKO: STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU
STAA wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu amenaswa laivu akiwa kwenye pozi tata na mke wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Bonita.Staa wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za...
View ArticleMAMA DIAMOND AZUNGUMZIA MAISHA YA MWANAE, JINSI WANAWAKE WANAVYOMSUMBUA, PIA...
Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na paparazi, mambo...
View ArticleMSANII MWAJUMA JIMAMA AFUNGA NDOA NA MELELA MUSSA
Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi...
View ArticleMECHI 2 MAGOLI 10 YAKUFUNGWA: UHOLANZI YAMTANDIKA BRAZIL 3 BUYU. HUKU...
Uholanzi yaibana Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia.Uholanzi ilimaliza katika nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil baada ya kuchomeka msumari wa moto ndani ya kidonda...
View ArticleWOLPER WA BONGO MOVIE AFUNGUKA KUHUSU WATU WANAOTUMIA ACCOUNT FAKE ZENYE JINA...
Ndugu wapenzi napenda kuweka wazi kua kwa sasa situmii mtandao wa kijamii wa Facebook ila ni hivi karibuni nitawapa account yangu ya facebook. Nimeamua kuweka wazi maana amejitokeza mtu anayetumia jina...
View ArticleFIFA YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014
Orodha kamili:Kiungo wa timu ya taifa ya Argentina, Ángel Fabián Di María Hernández.Beki wa timu ya taifa ya Ujerumani.Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi.Kiungo wa timu ya Ujerumani, Toni...
View ArticleTahadhari_KWA WATUMIAJI WA KUCHA BANDIA HEBU ONA KILICHOMTOKEA HUYU DADA
Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA MOVIE YA THINK LIKE A MAN 2
Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E Terrence J yupo nchini Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN TWO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza...
View ArticleFUTARI LA BIRTHDAY YA MAKAMU WA KWANZA MBEBEZ WA UVCCM TAIFA MH. MBONI MHITA...
Dua kwanza!!Le Birthday CakeMuheshimiwa Mboni Mhita na the Cake U knowBaba mzazi wa Muheshimiwa Mzee Mhita wa kwanza kulia mwenye miwani.Mkao wa Kula with Meya Jerry SilaaVigogo wa UVCCM Taifa...
View ArticleMEYA JERRY SILAA WITH MY PEOPLE JANA AT FUTARI YA MH. MBONI MHITA UPTOWN...
Meya wa Iala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mh. Jerry Silaa at Futari last night!!Meya Silaa + Le Big Show le futari live!!Kevin Mbogo + Le Big Show + DJ Venture + Mh. MavundeOlivia Sanare + Mh....
View ArticleUTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND...
Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa...
View ArticleHATIMAYE RAGE AKABIDHI UENYEKITI WA SIMBA SPORTS KWA EVANS AVEVA LAKINI BADO...
rNa Faustine Feliciane, DAR ES SALAAMALIYEKUWA mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage jana alikabidhi ofisi kwa Rais mpya wa klabu hiyo, Evans Aveva lakini alishindwa kuweka wazi fedha ambazo...
View ArticleSHANGWE YA KUBEBA `NDOO` YA DUNIA MARACANA ILIFANA KWA WAJERUMANI
+48Mabingwa 2014: Nahodha wa Ujerumani, Philipp Lahm (wa pili kulia mbele) akinyanyua kombe la dunia na kushangilia .+48Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa kombe la dunia katika dimba...
View ArticleWAJERUMANI WALIKABA MPAKA KIVULI CHA LIONEL MESSI, KWA `STAILI` HII KUISOMA...
+32Nyota wa mvuto: Mechi ya fainali ya kombe la dunia katika dimba la Maracana ilikuwa mechi kubwa zaidi katika maisha ya soka ya Lionel MessiMCHEZAJI bora wa dunia mara nne mfululizo, Lionel Messi...
View ArticleLIONEL MESSI AIBUKA KIDUME TUZO YA MCHEZAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2014
+4 Lionel Messi amepewa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano .LICHA ya kupoteza mechi ya fainali na kukosa kombe la dunia mwaka 2014, mshambuliaji wa Argentina na Barcelona, Lionel Messi ameshinda tuzo...
View Article