Mabingwa 2014: Nahodha wa Ujerumani, Philipp Lahm (wa pili kulia mbele) akinyanyua kombe la dunia na kushangilia .
+48
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa kombe la dunia katika dimba la Maracana kwa kuifunga Argentina bao 1-0. +48
Big Bosi: Kocha wa Ujerumani, Joachim Low (katikati) akinyanyua Kombe la Dunia