"jamani naomba mnielewe kuwa sikumdhalilisha wema ila aliyataka mwenyewe naomba mnisamehe sana funs wangu coz huyu demu ndiye alisababisha nichelewe kwenye show,alianza kuja home Rommy nikashangaa amefuata nini home akaona haitoshi akanifuata mazoezini huyu demu si bure ananitafyta nishasema simtaki" - Diamond Platznum