Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FREDERICK SUMAYE ANUSURIKA KIFO KWENYE NDEGE

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amenusurika kifo hivi karibuni baada ya ndege ya shirika la Precision Air, iliyokuwa ikitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupata hitilafu ya injini.Ndege hiyo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUHUDIA MADEMU HAWA WA BONGO MOVIE WAKIZICHAPA ETI WAMGOMBEA STEVE NYERERE

! Mastaa wawili wa kike Bongo Muvi, Vivian Minja na Najma wanadaiwa kutoleana maneno machafu kisha kuzichapa kavukavu chanzo kikidaiwa eti walikuwa wakimgombea Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movies,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVAZI CHA JAQUELINE WOLPER CHAZUA GUMZO...!TWENZETU UJIONEE.

Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper MassaweMH! Kigauni kifupi alichotinga staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIBU:WABONGO WAFUMANIANA CHINA....WAZICHAPA KAVUKAVU,WAVUANA NGUO BARABARANI...

 Warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja akifahamika kwa jina moja la Glory na mwingine ambaye jina halikupatikana wakikwidana.Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO MONDAY /JUMATATU 14/07/2014 LIVE!!

...................................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU...

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

.MAYA WA BONGO MOVIE AIPIGA CHINI KANUMBA THE GREAT....!!

 Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’.NDO basi tena! Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kwa sasa amejikita katika kupiga kazi za nje ya Kampuni ya Kanumba The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDOA YA ROSE NDAUKA SIKU ZINAHESABIKA...

Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na familia yake.Cherekochereko! Baada ya maswali ya muda mrefu na kwamba ndoa hakuna, hatimaye mipango kabambe ya ndoa ya staa wa sinema za Kibongo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA'KE DIAMOND ANASWA LIVE NYUMBANI KWAKE..!!

 Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari.KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE AKATALIWA KWENI.

 Staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’Haijakaa poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA DARASA LA 6 AKUTWA AKIJIUZA

Mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma shule ya msingi (jina linahifadhiwa kimaadili) amekutwa kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili.Tukio hilo lilijiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MAJANGAZ YA KINADADA POWA WA KIBONGO WANAOKWENDA KUJILIPUA MIILI YAO CHINA...

                       Imeandikwa na Mwandishi WetuWAKATI  wanawake kwa wanaume wengi huenda barani Asia, hasa China kununua bidhaa kwa ajili ya kuja kuzichuuza, hali sasa ni tofauti kwa kuwa kuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEURI YA MAPENZI ONA BAADA YA KUFUNGA GOLI MBEBEZ WAKE ANAMPA LIVE UWANJANI...

 MARIO GOTZE ALIVYOPONGEZWA NA 'BEBII' WAKE JANA MARACANA+142Busu kwa mshindi: Mfungaji wa bao pekee la Ujerumani katika ushindi wa 1-0 kwenye fainali ya Kombe la Dunia jana dhidi ya Argentina, Mario...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNA METHALI NYINGI ZA ZAMANI ZIMEPITWA NA WAKATI KAMA HII YA MJANJA HAJINYOI...

Le Big Show najipaka Gillete Special foam mbele ya kioo bafuni najinyoa tena saafi sana maana kama kuna nsehemu umezikosea ukigusa na vidole utazipata unazipitia tena, ninaishi kwa bajeti hata siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE BIG SHOW LAST NIGHT AT ESCAPE 1 BEACH CLUB LE HABARE YA MUJINI SKYLIGHT...

Sky BandliveLe Big Show with Super Star Singer Digna mkareezz!!Le Big Show with Justine Ndege mamen Skyband Boss live jana!!

View Article


JOYCE KIRIA MTATA AFUNGUKA TENA LIVE AWACHANA THE MARIOS KINA BUSHOKE LIVE!!

Joyce Kiria: Ushauri wa bure kwa akina bushoke majumbani mwetu tumewachoka Nimekunwa mnoooooo na hii post ya Mange huko www.u-turn.co.tz hii post nimecopy ukitaka orijino ya Mange nenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MUTUZ LIVE THIS MORNING STILL ON BED HAPA HAMNA 360 NI LIVE BILA KUNAWALA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE BIG SHOW LIVE NOW WITH SUPER STAR PENNY AT EFM 93.7 KIPINDI CHA "GENGE" U...

Le Big Show with Super Star Penny at her Radio Show "Genge" live!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONA MANENO YA SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUM SIKU ALIPOKATAA ZAWADI YA...

"jamani naomba mnielewe kuwa sikumdhalilisha wema ila aliyataka mwenyewe naomba mnisamehe sana funs wangu coz huyu demu ndiye alisababisha nichelewe kwenye show,alianza kuja home Rommy nikashangaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkorogo wamponza DAYNA NYANGE

Muimbaji wa kike Dayna Nyange amezungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ya  ngozi yake na kuwa nyeupe.Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Dayna...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>