Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ!!:- MOTO MKALI SASA HIVI MWANANYAMALA LIVE!!

$
0
0


HABARI YA KUSIKITISHA ZAIDI MCHANA HUU..

Motomkubwa unateketeza baadhi yamaduka/ majengo yanayozungukaeneo la hospitali yaMwananyamala Dar es Salaam.

Hadi sasa nyumba 3 zimeteketeakwa moto ambao badounaendelea kuwaka kwa kasi nakutishia nyumba zingine zilizopojirani.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>