Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIHANNA ALIPOVUA NGUO KWENYE FINALI YA KOMBE LA DUNIA BRAZIL ONA MWENYEWE LE...

Rihanna breaks FIFA etiquette as pop singer touches and kisses World Cup Trophy Rihanna breaks FIFA etiquette as pop singer touches and kisses World Cup Trophy during Germany celebrationsRihanna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MY SUPER FRIEND SUPER MODEL TAUSI LIVING MBELEZZZ U KNOW GERMANY NI...

Super Tausi le mukareezzzz babes!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO TUESDAY /JUMANNE 15/7/2014 LIVE!!

...................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA...

Katibu  wa mbunge  wa jimbo la Kalenga  Bw  Martine Simangwa  kushoto akikabidhi msaada wa bati  100 kwa  uongozi wa kijiji cha Usengerendeti  kwa  ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA PROKOTO

Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku chache toka wimbo utoka. Video imefanyika July 11 2014 Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONA SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUMZ SASA HAKAMATIKI TENA NI MOTO WA KUOTEA...

Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku chache toka wimbo utoka. Video imefanyika July 11 2014 Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA AMUANDIKIA UJUMBE MZITO MTOTO WAKE PAULA......KUHUSU MAISHA YAO...

PAULALeo ni siku yakuzaliwa na mtoto wa Kajala,ambae anafikisha miaka 12.Kupitia ukursa wake wa INSTAGRAM Kajala ameandika ujumbe mtoto wake kwakueleza magumuuyao yote wakiopitia tangu siku ya kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA ADHURUMIWA NA MHARIRI WA FILAMU BONGO.MTUHUMIWA ATIWA NGUVUNI

 Staa wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu.KUNA STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIPITWE!! SOMA ALICHOKISEMA WASTARA KUHUSU WANAUME WANAOMTAKA KIMAPENZI!!

Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPANA CHEZEA AGNES MASOGANGE...HEBU CHEKI PICHA YAKE HII MPYA ALIYO IACHIA...

<<BOFYA HERE>>

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLASHBACK LE BIG SHOW HANGING OUT WITH PARADE OF BONGO CELEBS LIVE AT SERENA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Gari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa eneo la Mwanyamala mapema leo mchana,ambapo moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba nzima na  mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake haikujulikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA AFRIKA MASHARIKI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Joyce Mapunjo akizungumza na moja ya chombo cha habari wakati wa maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZZ!!:- MOTO MKALI SASA HIVI MWANANYAMALA LIVE!!

HABARI YA KUSIKITISHA ZAIDI MCHANA HUU.. Motomkubwa unateketeza baadhi yamaduka/ majengo yanayozungukaeneo la hospitali yaMwananyamala Dar es Salaam. Hadi sasa nyumba 3 zimeteketeakwa moto ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA:MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (kulia) akizungumza na wafanyabiashara wa mnadani Mkoani Rukwa mapema leo tarehe 14/07/2014 katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Wafanyabiashara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO RIHANA ALIVYO SHEREHEKEA USHINDI WA UJERUMANI KWA MBWEMBWE KIBAO...

Rihanna akishangilia kwa kuinua nguo yake na kuacha brazia yake baada ya Mario Gotze kuifungia bao Ujerumani.Mchezaji wa Ujerumani, Mario Gotze akifurahia kinywaji na mwanamuziki Rihanna baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIZENGO PINDA MGENI RASMI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA

WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19,...

View Article


ANGALIA VIDEO YA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI ILIPOFIKA KWAO LIVE!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Ezekiel: Sina Gundu na Midume

Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.Baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE AKATALIWA UKWENI KISA UMRI MKUBWA KUMZIDI SERENGETI BOY WAKE NUHU...

Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>