MFAHAMU HUYU DADA....
Elizabeth Luhanga |
Binti wa Kitanzania aliejitoa muhanga ndani ya Play boy,,, daah huu utandawazi utatutokea puani ,,, mliopataa hili gazeti mtusaidie na sisi huku tujionee maajabu ya dunia, maana hii dunia Mungu aliiumba na vituko vyake ndio maana kila kukicha kuna jipya...
The love of money is the root of all evil, kumbuka hili gazeti ndio lilimtoa Kim, Madonna na nk wakiwa utupu so expect something from our dearest sister....
Ciao
- Super Malecela WJ BlogDecember 18, 2013 at 7:54 AMSINTAH HIYO KITU SIO KWELI BABY, MIMI WALINITUMIA HIYO KITU MIEZI MIWILI ILIYOPITA NIKAAMUA KWAMBA NI UJINGA SIJAIPOST MPAKA LEO, SABABU NI KWAMBA HAIWEZEKANI MBONGO AKATOKEA PLAYBOY HALAFU TUKAKOSA KUSIKIA KUTOKA KWENYE BIG MEDIA OUTLET, PILI HUWEZI KUTOKEA JUU YA PLAYBOY BILA KUVUA NGUO NDANI SASA PICHA ZAKE ZA UTUPU KWA NDAAA ZIPO WAPI? HALAFU HUYO ALIYEKUTUMIA MBONA ANAJIFICHA ID YAKE KAMA ANAJUA KWAMBA HII KITU NI REAL? PLEASE SIKU HIZI UKIKAAA NA COMPUTER NA UKAJUA NAMNA YA KUITUMIA VIZURI UNAWEZA KUTENGENEZA ANYTHING NA THIS IS ONE OF THAT!! SAWA BONGO HATUJAENDELEA LAKINI SIO KIASI CHA KUAMINI THIS FAKE GAMES!! - LE BIG SHOWReplyDelete
- sinta nawe huoni kma hiyo picha ni haya mambo ya photo kitu gani cjui unaweza kuweka sura yako kwenye chochote!!!kwanza hyo picha ukiiangalia halina tarehe, hakuna chochote!!! akwendreeee huyo dadaReply
- AnonymousDecember 18, 2013 at 8:52 AMKaty na omby nyongole mkome kumposti liz kenye internet hata mkimchafua haezi kua kama yeye. liz kawapita sana hajiuzi kama nyie yuko smart ndo mana hajatotoleshwa bado anadai mmekunya kitoto kimoja uzee ushawaja mpaka kenye kucha ngozi kavu mikorogo inadundaReply
- AnonymousDecember 18, 2013 at 9:26 AMYani hii ni photo shop nje nje...tangu lini playboy ikaweka sura tu ya mtu utafikiri VOGUE MAGAZINE!Reply
- AnonymousDecember 18, 2013 at 9:34 AMhabari ni mrs sembe kwenye udaku hiyo habari haina mashiko...Reply