------------------------------------------------------
‘’bwana kabunju,
salaam.
Rejea Mazungumzo yangu kuhusu Mhe.Joyce Mukya (MB) ambaye yuko safarini.
Nitashukuru akibadilishiwa booking yake aweze kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku ya Jumaapili kurejea Dubai na Kuunganisha Dar Tar 3 Dec.
Mbowe,KUB.
Cc.
Mhe.Joyce Mukya’’
source FB