Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA LIVE STRAIGHT TALK ON WHY TANZANIA WOMEN ARE SILENCE WHEN RAY C GOT AN UGLY BEAT FROM A HOOLIGAN?

$
0
0
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- There are times huwa ninashindwa kuwaelewa Wanawake au Kinamama wa Tanzania, I mean when you need them huwasikii and then when you do not need them ndio utawasikia I mean habari za Bongo Flava Star Chid Benz kumpiga Ray C mwanamke mwenzenu bila sababu ya msingi na hata ingekuwepo hakuna Mwananchi wenye ruhusa ya kumpiga mwenziwe, nashangaa sijasikia Mwanamke yoyote mwenye nguvu katika hii jamii akisema anything kulaani kitendo hicho. It is like what the guy did is ok, halafu besides kwenye ishu ya Flora Mbasha na mumewe sijasikia Mwanamke yoyote mwenye nguvu kwenye jamii akijitokeza kusema anything kuacha Joyce Kiria ambaye nilikuwa ninamuamnia sana until on this ishu amejikanyaga kanyaga with absolutely no sense at all. She said things that were so offo so I was like what the hell is she talking about bitch, I mean just shut the F up u know. I know she is my friend and she says she admires my Super Spirit as The King of All Bongo Network Social Media but man you were off the line kwa sababu unatetea the Devil in your friend Flora Mbasha. However, lets get back to the Ray C ishu here Mwanaume mzima ameenda kumpiga a helpless woman with Super evidence live for all of us to see, sasa nilitegemea kina mama na NGO zao wangejitokeza na kuandamana wakililia Chid Benz aoze jela no you guys are so busy with making your hair at saloons you just cant think big enough kwamba kuna Wanaume mburulazzz kibao wanaangalia Chid Benz atafanywa nini and then na wao watamuiga na kupiga wanawake. Sijasikia wanwake wa CCM wala Chadema/UKAWA wakijitokeza kulaani this moron acts of Chid Benz halafu the nest thing in Tanzania utamuona the man yupo mtaani like nothing happened, I mean what the man did is wrong, it is unacceptable, we all shoudl demand ho rotts in Jail, kina mama wa bongo kwenye hili hamjamtetendea haki Ray C mwanamke mwenzenu, wacheni kuchagua kesi za kupigia kelele as ling inamhusu mwanamke mwenzenu it should be given a priority. - Le Mutuz Big Show 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>