Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

IDD AMIN DADA RAIS WA UGANDA SOMA HABARI YAKE HAPA LIVE!!

$
0
0
•Tangu Rais Milton Obote alipopinduliwa na Idi Amin, mwaka 1971, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (East African Authority) hawakuwa wamekutana, kwa sababu Nyerere alikataa kata kata kukaa meza moja na Amin.
•Wakati wa mapinduzi, Rais Obote alikuwa Singapore akihudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola. Kwa vile alihofia maisha yake endapo angerudi Uganda, Milton Obote
aliomba hifadhi ya kisiasa (political asylum) Dar es Salaam, na rafiki yake Nyerere akamkaribisha Tanzania.
•Hata hivyo, serikali nyingi duniani mara tu baada ya haya mapinduzi, zilitambua utawala mpya huko Uganda, zikiwepo Uingereza hata Kenya. Ni dhahiri kwamba Tanzania haingeweza kufanya hivyo kutokana na ushawishi wa Obote.


SOURCE: “from GOATHERD to GOVERNOR”: The Autobiography of EDWIN MTEI (October 2009)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>