Mama alikutwa hapa maeneo ya darajani manzese asubuhi akiuza supu ya mapupu kwa wale wenye kuhitaji.
Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki ng'ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.
Watoto wakijipatia supu kutoka kwa mama muuza supu.