BREAKING NEWZZ : BUNGE LASITISHWA MPAKA KESHO SAA TATU ASUBUHI, RAIS KIKWETE...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kwamba Rais Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo...
View ArticleHATIMAYE OKWI LIVE AT YANGA LEO MAZOEZINI!!
Hatimaye Emanuel Okwi leo amefanikiwa kuweka rekodi yake ya pili ya kuzichezea timu mbili kubwa hapa nchini za Simba na Yanga.Pia amenza polepole kumziba mdomo mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage...
View ArticleKIBAKA ALIYETAKA KUPORA BAJAJ APATA KIPIGO CHA AJABU NA WANANCHI LIVE ONA HAPA!!
Mtu aliyetuhumiwa kujaribu kuiba pikipiki aina ya Bajaj maeneo ya Coco Beach Dar es Salaam akiwa tahabani baada ya kupata kipigo cha mbwa mwizi maeneo ya Msasani jirani na Hospitali ya CCBRT hivi...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- ON MBURULAZZZ BAADA YA KULEWA MAPOMBEZZ LIVE!!
Ni aibu sana mtu kunywa pombe mpaka kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka kutembea unashindwa mwisho...
View ArticleKAZI NI KAZI HATA KUUZA SUPU YA MAPUPU NI KAZI U KNOW!!
 Mama alikutwa hapa maeneo ya darajani manzese asubuhi akiuza supu ya mapupu kwa wale wenye kuhitaji. Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa...
View ArticleTAHADHARI PICHA YA KUTISHA!!- PICHA YA KWANZA YA SABABU ILIYOFANYA MAWAZIRI 4...
Hii ndio moja ya unyama uliofanyika kwenye Operation Tokomeza Ujangili iliyosimamiwa na washiriki toka Wizara 4 za mawaziri waliondolewa juzi bungeni.
View ArticleKAMPUNI MPYA YA WAZAWA HUKO MAMBELEZZZ DMV/USA YAWA NI MFANO WA KUIGWA.
Mkurugenzi Vizion One Mkuu wa Wilaya ya DC Mr. John SixMkurugenzi Vizion One Abdallah Kitwara.Many reason to give thanks for the season The Word of God says,“Give thanks unto the LORD, call upon his...
View ArticleTHREE US MILITARY HELICOPTERS SHOT IN SOUTH SUDAN LIVE!!
 KAMPALA - Three US military helicopters were shot at in South Sudan on Saturday, an incident which left three Americans wounded, diplomatic and Ugandan military sources told AFP.The helicopters were...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- MBEBE WA UKWHEEEH AKATWA SIKIO LIVE KISA WIVU WA...
 Hivi karibuni hapa jiji mwanza mkazi mmoja wa Igoma Aliefahamika kwa jina moja la Consolata amepigwa na mmewe na kung’atwa sikio na mtu anaedaiwa kuwa ni hawara wa mumewe bi consolata amesema alikuwa...
View ArticleLE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK; YANGA HAINA UWEZO WA KUIFUNGA SIMBA PERIOD.
Jana ilikuwa ni mara yangu ya 4 toka nirudi Tanzania toka nje Miaka 2 iliyopita kwenda Uwanja wa Taifa kushuhudia mechi baina ya timu hizo. Mimi ni mshabiki wa Yanga ninaijua timu hii kwa muda mrefu...
View ArticleTHE MAJANGAZ:- HUYU NDIYE IMAM WA KWANZA SHOGA WA WAZI KABISA LIVE & UGLY...
He’s been condemned by other Muslim leaders, and some local imams have even refused to greet him. But Imam Daayiee Abdullah – believed to be the only openly gay imam in the Americas – is proud of his...
View ArticleLE MUTUZ LIVE STARIGHT TALK!!;- STRAIGHT TALK ON OUR BLOG'S POLICY NA THE...
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-OUR POLICY YA SUPER BLOG NI HATUWEKI PICHA YA MTU YOYOTE BILA YA RIDHAA YAKE, NA IKITOKEA PICHA YAKO IMETOKEA KWENYE HII BLOG BILA RUHUSA YAKO UJUE NI BAHATI MBAYA SANA...
View ArticleBREAKIN NEWZZZZ!!:- KINATAKA KUNUKA YANGA!!
Mwenyekiti ya Yanga, Yusufu ManjiKocha BrandtsMWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji ameitisha mkutano na wanahabari akitaka akuzungumzia pambano la jana dhidi ya Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe...
View ArticleALICHOKISEMA MANJI KWENYE MKUTANO WA DHARURA NA MEDIA LEO LIVE KUHUSU...
Mwenyekiti wa Yanga amemaliza kikao na waandishi wa habari kuhusu kufungwa jana na Simba, amesema lawama zote zielekezwe kwake na sio mwingine yoyote na kwamba Yanga haijaamua hatma ya Kocha wa sasa wa...
View ArticleSUPER STAR ALI KIBA AFUNGUKA LIVE KUHUSU DIAMOND PLATZNUM LIKE NEVER BEFORE!!
Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari,...
View Article