ZARI ALL WHITE CIROC PARTY
Zari Hassan akiwasili |
heee madam CEO ndani ya Red Carpet on ya left Zara,Zari n.... malizia |
me n Zari's sistaz |
table maalum ikilindwa maana waliokaa hapo ni VVIP |
Loviesss hizi ni pics chache tu maana siku hiyo Zari aliniambia madam uko high table, watu wapo kwaajili ya pics so nawapa kiduchu picha lenyewe nitawatupia humu jamani hadi rahaaaaa in #Choka's voice mwaaaaaa, nilfurahi kwakweli away from home kikubwa nilichopenda ni kwa kuwa sikufikishwa hotel, nilikuwa home wit a family.....
Enjoy kama kawaida roporopo hazikosekani fanya yako huu ni ulimwengu wa kufanya yako..... usinune jtatu yako ikaharibika
- AnonymousDecember 23, 2013 at 8:00 AMHiv sinta uyo zar la mentali Unalishobokea kama umezaliwa nae lione unanikelaj kimbelembele kama ww ndio unamjua peke yako mfyuuuuuuu kwan ni mungu wako !!!!!!!!!!!Reply
- AnonymousDecember 23, 2013 at 8:04 AMhahaaaaa kwarahazako nilikuona airport cku unaondoka kumbe ulikua unaenda kwa zari ok ok utupie zinginee bac Leo pataropokwaje?ulimwengu wakufanyayako nactuko Dubai tukifanyayetu kimyakimyaaa bila show offReply
- RosiliciousDecember 23, 2013 at 8:39 AMHehehehehhhh jipendekeze tuu uwegea unakula raha km hizo maana ungezilia wapi hizo.kwikwilwikkk ijumaa nilimuona tufyefye lemutuz skylight.Reply
Halafu hapo umekaa kiuoga au kwa sabb umekaa na watu high class??