$ 0 0 BREAKING NEWS: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.