Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ALIYEKUWA KATIBU MUU WA TFF AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE TENA LIVE!!

$
0
0

"poleni na majukumu wapendwa, nimekuwa nikipokea simu wiki mbili sasa na leo asubuhi wengine wakinipa pole kuhusu kuomba nafasi ya katibu mkuu wa TFF,napenda kuwajulisha watanzania wote kuwa, sikuomba hata kidogo nafasi hiyo niliyoifanyia kazi kwa miaka minne kwa umakini wa hali ya juu sana, hivyo nilipoomba mwaka 2010 kutokuongezewa mkataba kwa mara ya 3 nilikuwa na maana ya kufanya shughuli nyingine na sio ukatibu wa TFF,pamoja na hayo namshukuru pia rais wa tff kwa kuniteuwa kuwa kwenye kamati ya media and markerting,nipo tayari kufanya kazi na tff na kutoa mchangowangu wa hali na mali ,na kuwapongeza wote watakao teuliwa kushika nyazifa mbalimbali za uongozi hapo katika shirikisho letu la mpira wa miguu."
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles