Mchezaji maarufu wa zamani na kocha wa Simba wa muda mrefu sana James Kisaka, amefariki Dunia leo Asubuhi katika Hospitalini mjini Dar Es Saalam ambapo alikuwa amelazwa kwa muda kama wa wiki mbili sasa. Habari zaidi zinakuja baadaye, lakini Mungu amrehemu marahemu ambaye ninamfahamu kwa karibu sana toka enzi za Sekondari akiwa anachezea timu ya Shule za Sekondari za Dar na Tanzania nzima, kabla hajajiunga na Watoto wa Simba na hatimaye kuchezea Simba kama Golikipa kwa muda mrefu sana. Bwana Ametoa na Bwana ametwaa lihimidiwe jana la Bwana Mungu!! - LE Mutuz