Rais Jakaya Kikwete akikaribisha na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban Ki Moo, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, Desemba 24, 2013. Badaye walikuwa na mazungumza kuhusu masuala mbalimbali ya Kimataifa hususan amani na ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika kudumisha amani sehemu mbalimbali Afrika na katika nchi nyingine Duniani. Tanzania ina majeshi ya kulinda amani katika nchi kadhaa ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Darfur nchini Sudan na Lebanon. Rais Kikwete yupo jijini New York nchini Marekani ambapo anaendelea vyema na ukaguzi wa kawaida wa afya yake. (picha na Freddy Maro)
Wakizungumza
Rais Kikwete akimshukuru Ki-Moon baada ya mazungumzo yao
Ki-Moon akimvuta pembeni Rais Kikwete kisha..
Akamwambia jambo kabla ya kuagana
Wakizungumza
Rais Kikwete akimshukuru Ki-Moon baada ya mazungumzo yao
Ki-Moon akimvuta pembeni Rais Kikwete kisha..
Akamwambia jambo kabla ya kuagana