- Alice Dimpouz, Gracie Chriss N and 2 others like this.
- Olivia SanareWataendelea kuiaibisha tanzania yetu hadi lini????
Shame on her wala simuhurumiii bora uwe malaya kuliko hui ubossy lady mavi. - Bernard Kazimoto DicksonAkili zake zilikuwa zimepinda sana... nakumbuka wakati tupo chuo aliwahi kumtukana mwalimu kahiula(ambaye sasa ni mbunge wa viti maalumu).. kisa alimpa ushauri WA mavazi ya ajabu aliyokuwa akivaa...
- Olivia SanareHawachelewi kuja kutuambia hazikuwa dawa kweli4 hours ago via mobile
- Baraka SamsonDuuu nimeangalia hiyo post nikamuangali huyo mdada mpaka nimesikitika sana...nimeshamuona akifanya interview kwenye wanawake live ya EATV and nikajua she is good girl...very decent kumbe duuu...sasa kwa china adhab zao sasa doooh4 hours ago via mobile·
- StarLisha TillyaSo sad
- Tuse Shadrack UswegeAnyongwe hadi kufa hawa ndo wanaoichafua nchi yetu!
- Mwajabu JumaDuuuu3 hours ago via mobile·
- Jacqueline MzindakayaPlz don't say that..
- Jacqueline Mzindakaya@tuse,kwa mfano angekua ndugu yako ungesema hvo?only God can judge us..
- Tuse Shadrack UswegeJack hata angekua mama yangu why afanye biashara haramu??
kama ni nduguyo ulipaswa umkataze angeuza hata mihogo mkuranga ipo mingi sana.
for sure sina huruma na watu wa jinsi hii wala nisiwe mnafiki hapa!. - Saimon FrankKila Mmoja Anapenda maisha Mazuri sana hawa Wauza Unga wanatunyanyasa sana hapa Tanzania uTaZani wako juu ya Sheria mie naunga mkono nyote@Tuse na Olivia kwa maneno yenu yenye Uchungu na Nchi @Mzindakaya nashindwa hata nikwambie maana nimeona andiko la...See More
- Maria JohnsonmoriceOnly god knwz35 minutes ago via mobile·
- Saimon FrankKila Mmoja Anapenda maisha Mazuri sana hawa Wauza Unga wanatunyanyasa sana hapa Tanzania uTaZani wako juu ya Sheria mie naunga mkono nyote@Tuse na Olivia kwa maneno yenu yenye Uchungu na Nchi @Mzindakaya nashindwa hata nikwambie maana nimeona andiko lako tu machozi yakanitoka unamtetea muuza unga au mbeba unga huwajui wewe na unawasikia tu acha kabisa hawa watu ni ovyo sana kwenye maisha wanatutesa sana hapa nchini acha tu wanapokamatwa wanyongwe mara moja bila mjadala
Tuse Shadrack UswegeJack hata angekua mama yangu why afanye biashara haramu??
kama ni nduguyo ulipaswa umkataze angeuza hata mihogo mkuranga ipo mingi sana.
for sure sina huruma na watu wa jinsi hii wala nisiwe mnafiki hapa!
Anyongwe hadi kufa fullstop!
↧
KUKAMATWA KWA JACKY CLIFF MACAO/CHINA NA SEMBE MJADALA AT FACEBOOK LIVE!!
↧