$ 0 0 Askari amsindikiza mfungwa kuuza chuma chakavu Askari Polisi akimsubiri mfungwa ambaye hakufahamika ni wa gereza gani la jijini Dar es salaam, kuuza chuma chakavu katika eneo la veterinary hivi karibuni.Mhusika wa biashara ya chuma chakavu akipima mizaniAskari na mfungwa wakijadiliana baada ya kuhakiki uzito wa chuma chakavuGari lililokuwa limewabeba wafungwaPicha na maelezo kwa mujibu wa blogu ya Mpiganaji, Nyakasagani.Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/12/askari-amsindikiza-mfungwa-kuuza-chuma-chakavu.html#ixzz2oa1uYVwS