Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
↧
X-MASS MBEYA...HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA..FULL KUMWAGA RADHI...JIONEE PICHAZ HAPA....
↧