Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KHANGA MOKO KAMA KAWA LICHA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU

$
0
0
Baadhi ya wadada wakicheza ngoma ya kibao kata wakiwa ndani ya kanga moja. 
MIEZI michache kufuatia tamko la serikali kuzuia ngoma zinazokesha maarafu kama Kanga Moko kwa kukiuka maadili, imebainika kuwa ngoma hizo zinaendelea kufanya mambo kama kawa kana kwamba hazijakatazwa, Ijumaa limeshuhudia.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili juzikati umebaini kuwa ngoma hizo ambazo wanawake hucheza wakiwa ndani ya kanga moja, zinaendelea kufanyika kwa siri katika viunga mbalimbali vya Jiji la Dar es Salaam.
Chanzo makini kimevujisha habari kuwa, wahusika wamekuwa wakipashana habari kupitia kwenye mitandao ya kijamii kisha kukutana katika maeneo tulivu hasa kwenye fukwe na kufanya yao.Wadada hao wakicheza ngoma hiyo huku wakipata sapoti kutoka kwa shabiki wa mchezo huo. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>