Baada ya staa Kim Kardashian kuvunja Internet na picha yake ya utupu kwenye cover la jarida la Paper, mpenzi wake wa zamani Ray J amezidi kutengeneza pesa kutokana na mauzo ya mkanda wao wa ngono waliorekodi zamani.Vivid Entertainment imeuambia mtandao wa TMZ Kuwa mkanda wa Kim na Ray J unaoitwa Kim K Superstar imapata mauzo makubwa kutokana na picha za Kim K.
Ray J ambaye ni mdogo wake Brandy ametengeneza dola Elfu 50 '$50,000' wiki iliyopita pekee kwa mujibu wa rais wa Vivid Steve Hirsch.
Ray J ambaye ni mdogo wake Brandy ametengeneza dola Elfu 50 '$50,000' wiki iliyopita pekee kwa mujibu wa rais wa Vivid Steve Hirsch.