"Huyu ndiye mtu ambaye leo hii amejaribu ku hack account yangu na kuanza kutuma invitation kwa friends wangu wote wa fb kwenda kwenye page yake as kama mimi ndio nimekutumia....ukiona hiyo invitation please just ignore it sihusiki kwa namna yoyote na hiyo page,,,,,for my simple surveillance nimembaini huyu bwana yupo Mwenge Dar es salaam jirani na ofisi za global publisher,,,na namba yake ya sim tayari nimeshai detect.....am working on it...."
Like· · Share· about an hour ago·