Hizi ndizo Picha wanazozitumia wahuni wanaoendesha Account hiyo kama umejiunga nao please jitoe sasa ni wahuni sio account ya Mheshimiwa mwenyewe na anawaomba sana radhi wale wote waliosumbuliwa kwa njia moja au nyingine na account hii ndani ya Facebook.